KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI
Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi
waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla
ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263
wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi. Kati ya
wanafunzi waliochaguliwa 34,064 wakiwemo wasichana 13,466 na wavulana
20,598 sawa na asilimia 52 watajiunga na masomo ya Sayansi na
Hisabati; na wanafunzi 30,897 wakiwemo wasichana 15,445 na wavulana
15,452 sawa na asilimia 47 wamechaguliwa kusoma masomo ya Sanaa na
Biashara na wanafunzi 759 wakiwemo wasichana 220 na wavulana 539 sawa na
asilimia 1 wamechaguliwa kujiunga na vyuo vya Ufundi.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi mwaka 2016 pamoja na fomu za kujiunga (joining instructions) inapatikana kwenye tovuti ya OR-TAMISEMI ya www.tamisemi.go.tz Imetolewa na Katibu Mkuu,
OR-TAMISEMI Tumia link hii kupata matokeo

BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI