KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI
Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
Raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 30 aliyetajwa kwa majina ya Joe Fortemose Chinakwe mkazi wa mji wa Ogun nchini humo, amekamatwa na Polisi kwa kosa la kumpa mbwa wake jina la Rais wa Nchi hiyo Mohamed Buhari.
Polisi mjini humo inamshikilia mfanyabiashara huyo kwa kosa la kumdhihaki na kulitumia jina la Buhari katika viumbe vinavyodhalilisha utu wa binadamu.
Tayari bwana Joe Fortemose ameanza kupelekwa Mahakamani na atapata hukumu yake ushahidi ukikamilika.
BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

