BREAKING NEWS: WANAFUNZI HEWA 10,000 WAPATIKANA VYUO VIKUU, WAWEZA ANGALIA HAPA MAJINA YAO

KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI

Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below

ndalichakoWAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako amesitisha malipo ya posho za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini ambao wanaofanya mafunzo kwa vitendo (practical training) ‘field’ baada ya kubaini kuwepo na wanafunzi hewa zaidi ya 1000 vyuoni.
Prof. Ndalichako amesema wizara yake imezuia posho hizo kwa muda wa wiki mbili wakati wizara hiyo ikiwa inafanya uhakiki ili kuwabaini wanafunzi hewa zaidi pamoja na wahusika kuwachukulia hatua za kisheria.
Aidha  Prof. Ndalichako amewaagiza wakuu wote wa vyuo kuwasilisha taarifa za wanafunzi wao wizarani ili zoezi la kukagua na kubaini uahalali wa wanafunzi hao kuwepo vyuoni na wale watakaoonekana kuwa wana sifa watapatiwa posho zao za kujikimu mapema na kuendelea na masomo.
CHANZO: EA RADIO

BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES

;

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

Newer Posts Older Posts
© Copyright VIDEO
Back To Top