Mambo manne yaliyoafikiwa kwenye kikao cha dharura kuhusu kusudio la Manji kujitoa Yanga

KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI

Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
August 16 2016 ikiwa ni siku moja imepita toka kuenea kwa habari katika mitandao ya kijamii kuwa mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amejiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa madai ya kuandamwa na maneno na kujihisi mpweke kwani hakuna mwanachama yoyote wa Yanga aliyeonesha kuwa upande wake.
Baada ya taarifa hizo kuenea viongozi wa kanda wa Yanga walikaa na kuamua kufanya mkutano wa dharura leo August 16 makao makuu ya klabu yao,  moja kati ya viongozi wa matawi ya Yanga mkoa wa Dar es Salaam anayeiwakilisha kanda ya Temeke Robert Liungu ametaja maazimio waliyofikia kutoka katika mkutano wa dharura.
1- Wanachama wa Yanga wanatambua kuwa Manji bado ni mwenyekiti wao kwa mujibu wa katiba yao.
2- Wanachama wamemuomba mdhamini Mzee Katunda amtoe mzee Akilimali anayedaiwa kumpinga Manji atolewe katika nafasi ya katibu wa wazee wa Yanga.
3- Wanachama wanaiomba kamati ya utendaji ya Yanga imuite mzee Akilimali imuhoji na kumsimamisha uanachama kwa madai kuwa yeye ni Simba. 
4- Wanachama wa matawi yote wanaendelea kumtambua Yusuph Manji kama mwenyekiti wao

BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES

;

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

Newer Posts Older Posts
© Copyright VIDEO
Back To Top