KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI
Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
Wanaume huonekana
kushangazwa sana na tabia ya wanawake kutopenda kuanzisha tendo la ndoa
wanapokuwa faragha. Licha ya wanaume kutokuwa na tatizo la kuanzishatendo la ndoa faragha, wakati mwingine wanaume hutamani kuona wanawake wakifanya hivyo pia.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazowazuia wanawake kuanzisha tendo landoa wanapokuwa faragha na wapenzi wao;-
Hofu ya kukataliwa.
Wanawake wengi huogopa kuanzisha tendo la ndoa kwa hofu ya
kukataliwa. Wanaumia sana wanapoanzisha tendo la ndoa na wanaume
hawaonyeshi ushirikiano wa kutosha, hivyo wanawake wengi hupendelea
kuwaachia wanaume usukani huo kwa hofu ya kukataliwa.
Ili kumsaidia mkeo kuondokana na hofu hii ni vyema kuonyesha
ushirikiano pindi anapo ashiria uhitaji wa tendo la ndoa. Muongezee
ujasiri kwa kumweleza jinsi unavyopenda anapokuwa kiongozi pindi
mnapokuwa faragha. Jitahidi kuujari uhitaji wake hata kama uko bizze.
Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Usikose Hii: Maumivu Unapofanya Tendo La Ndoa (Dyspareunia)
Mwanamke hatojisumbua kuanzisha chochoteikiwa kama anapata maumivu
wakati wa tendo la ndoa. Kama tendo la ndoa linamletea maumivu, hawezi
kufurahia tendon a kama hafurahii usitarajie mkeo kuanzisha jambo
asilolifurahia hususani tendo la ndoa.
Wakati mwingine wanaume wengi hukimbilia kufanya tendo la ndoa pasipokuwa na maandalizi ya kutosha, matokeo yakekupelekea
mwanamke kujisikia maumivu wakati wa tendo la ndoa. Vilevile
inawezekana maumivu hayo yanasababishwa na magonjwa ya zinaa (Sexual
Transmitted Diseases), hivyo ni vyema kufanya utaratibu wa kupata huduma
za kiafya mapema katika hali kama hii.
Baadhi ya wanawake huchukulia kitendo hicho kama desturi.
Kwa baadhi ya wanawake huamini kuwa wanaume ndio wanaopaswa kuanzisha
mambo kitandani. Huamini kuwa endapo kama watakuwa waanzilishi wa tendo
la ndoa ni rahisi kuonekana Malaya mbele za waume zao. Hivyo ili
kuepukana na tatizo hili wanawake wameamua kutojichukulia madaraka ya
kuwa waanzilishi wa tendo la ndoa.
Jambo la msingi hapa ni kwamba mwanaume anapaswa kumfanya mkewe
ajisikie kuwa huna tatizo na yeye kuwa mwanzilishi wa tendo la ndoa
pindi mnapokuwa faragha. Mwache naye atambue ya kuwa unatamani kumuona
wakati mwingine yeye akiwa mwanzilishi wa tendo. Uvumilivu unahitajika
katika hili.
Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Usikose Hii: Tendo la Ndoa: Mkeo Anakosa Hamu Ya Tendo La Ndoa? Msaidie Hivi
Usitarajie mkeo kuanzisha tendo la ndoa ikiwa kama anakosa hamu
ya tendo mara kwa mara. Wakati mwingine kutokana na msongo wa maeazo
yanayosababishwa na kazi nyingi, wanawake wengi wamepoteza hamu ya tendo
la ndoa.
Msaidie kuondoa msongo wa mawazo kwa kumfanyia massage na kumwandalia
ziara ya siri ya kimahaba. Yawezekana ndicho anachotaka na na
kinachoweza kumsaidia apate hamu ya kufanya tendo la ndoa.
BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES