KUPATA PICHA ZA KUCHEKESHA WHATSAPP BOFYA HAPA CHINI
Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below Always visit the site for enjoying the funny and all comedy releted videos, because my purpose is to see yoou happy all the time, after watching i beg you to share my videos with friends, be happy all the time and enyoy the videos below
Rais Barack Obama
MarekaniRais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa iwapo mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump atashinda katika uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo yeye ataondoka Marekani.
Barack Obama Rais wa Marekani ameliambia Gazeti la World News Politics kwamba, kama Trump atashinda uchaguzo ujao wa rais, yeye na familia yake wataondoka Marekani bila ya mapema.

Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump
Inasemekana kwamba, iwapo ataondoka Marekani, Rais Obama anakusudia kuishi nchini Canada na kwamba tayari maudhui ya kuhama kwa Obama imejadiliwa na Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau.
Matamshi na misimamo ya kushangaza ya mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump imekabiliwa na upinzani mkali ndani na nje ya Marekani.
BOFYA HAPA CHINI KUONA VITUKO VYA MASTAA BONGO MOVIES
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

